Msaada: Naomba kuelimishwa kuhusu Biashara ya mayai ili nipate faida

Kelela

Senior Member
Nov 7, 2020
186
269
Wakuu naomba mchanganuo wa namna ya kufanya biashara ya mayai.

Naomba kupewa mchanganuo huo kwa;
1. Mayai ya kisasa.

2. Mayai ya kienyeji.
 
Kwanza hakikisha una kuku wako mwenyewe wanaotaga na sio ujumue kwa mtu ndio uuze.

Ukiwa na yako mwenyewe utajua jinsi ya kupanga bei na uhakika wa stock
 
Soko ndo linapanga bei sio mwenye bidhaa, hizi bidhaa zipo sokoni tayari.
Akiwa mzalishaji anaweza shusha bei kwa wateja wake mtaalamu. Tofauti na akiwa ananunua jumla kwa mtu mwingine.
 
Akiwa mzalishaji anaweza shusha bei kwa wateja wake mtaalamu. Tofauti na akiwa ananunua jumla kwa mtu mwingine.
Mkuu wewe unaongea kujipangia bei kwa kupunguza kutoka kwenye bei halisi😂, sasa hapa unakua unafanya charity sio biashara.
 
Mkuu wewe unaongea kujipangia bei kwa kupunguza kutoka kwenye bei halisi, sasa hapa unakua unafanya charity sio biashara.
Umeona sasa kuwa unakuwa na maamuzi ya bei kutokana na gharama za usalishaji? Unaweza amua iwe charity au iwe biashara. Wewe tu! Mtaalamu umenielewa ila unanisaka daaah
 
Umeona sasa kuwa unakuwa na maamuzi ya bei kutokana na gharama za usalishaji? Unaweza amua iwe charity au iwe biashara. Wewe tu! Mtaalamu umenielewa ila unanisaka daaah
😂😂😂 nimekuelewa mkuu, muhimu faida ionekane

Ila mtoa mada a-deal na mayai tu Extrovert jamaa anaomba muongozo huku.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom