Msaada: Naomba kuelekezwa namna ya kutuma maombi ya kujiunga na Vyuo

matics

Senior Member
Aug 18, 2019
133
80
Leo dirisha la kuomba kusoma vyuo vikuu mbalimbali limefunguliwa, naomba mwenye ujuzi jinsi ya kuomba anisaidie.

Pia tunaomba chuoni moja kwa moja ama TCU, ukiniwekea procedures utakuwa umenisaidia sana.
 
Unaomba chuoni moja kwa moja, jinsi ya kuomba nenda ukagoogle kisha tembelea tovuti ya chuo husika utaona sehem za online application kisha utaendelea
 
Tafuta stationery nzuri ufanye hizo application watakueleza kila kitu, kila chuo ni elfu kumi isipokuwa vichache sana ni bure,pia gharama ya mtu wa stationery haipungui elfu nane nk...
 
Asante mdau nimemaliza, shida nimepata kwenye kupata award verification number kutoka nacte,nmeomba nimelipia lakin hawajatuma mpka sasa,imebidi nitumie tu cha six japo natua nitapata ushandani sna
 
Back
Top Bottom