nilisema waprotestant nikapelekwa ila sio la kilutheriHuko wengi wakatoliki na waislamu, hata hvyo uliza vzr haiwezekan kukosa kanisa hapo katubuka, jifunze wanaitaje kwa lugha ya kule ili ukiuliza wakuelewe, ukisema kkkt wanaweza wasikuelewe zaidi ya ukisema kanisa LA waluteri au waprotestants.
kwa hiyo unafuata hiyo barabara ya Zanzibar lodge haid juu kwenye minara kule?Ukiwa Mwanga maeneo ya Ilipo Zanzibar Lodge,KKKT ipo Kilimani mkono wako wa kulia kama unaenda mjini kuna barabara ya lami ina pandisha kuelekea ulipo mnara mkuu wa TTCL(BSC)
unaweza ukampoteza mtu kabisalipo mlimani pale round about?
Barabara ya lami iko nyuma kidogo,Zanzibar iko mbele kidogo kama meter 20/30.......Eneo Kanisa lilipo panaitwa "Mugatutu" ulizia hata Boda boda.kwa hiyo unafuata hiyo barabara ya Zanzibar lodge haid juu kwenye minara kule?