Msaada: Nani anawajibika wa kwanza juu ya ulinzi wa rais? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Nani anawajibika wa kwanza juu ya ulinzi wa rais?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkurabitambo, Aug 13, 2012.

 1. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  habari wanajamvi wenzangu,poleni kwa mfungo(watukufu waislam) na miangaiko ya siku.kuna swali la haja ninalo.nimefuatilia kitambo kuhusu walinzi wa marais.nijuavyo(naturally) mlinzi wa kwanza wa Rais ni bodyguard wake na kisha wengine wanafuata.nimeweka Picha ya Rais JK akiwasili toka Ghana,kitu kimoja kimenishtua,ukiangalia kwa makini utamwona bodyguard wake akipiga soga na IGP...hapo ndo swali la nani anawajibika moja kwa moja na ulinzi wa kiongozi wetu limekuja,je bodyguard anafanya kazi Rais akiwa nje ya nchi pekee au?

  kwa mwenye ufahamu zaidi atujuze,vinginevyo huyu bodyguard awajibishwe na wahusika kwa kuchezea kazi..


  JK.JPG
   
 2. Root

  Root JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,298
  Likes Received: 13,007
  Trophy Points: 280
  kweli kazi ipo ndio alivyofundishwa
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  tumezoea kupiga soga mno, labda awe anayweshwa juisi ya supagluu.

  Mwenye jukumu la kwanza la ulinzi wa raisi ni yeye mwenyewe, then mlinzi wake.

  Tz bwerere hakuna vibaka wa kumdhuru prezident.

  Chagua lililo sahihi.
   
 4. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huyo ni bodyguard au mgambo wa jiji?
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  hajafundishwa, walimu wake wamegoma sababu ya nyongeza za malipo yao.

   
 6. M

  Mkurabitambo JF-Expert Member

  #6
  Aug 13, 2012
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 229
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mkuu uniform za mgambo wa jiji si tunazijua,alafu mgambo wa jiji hakosi kirungu
   
 7. Transporter

  Transporter JF-Expert Member

  #7
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 736
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 45
  k....kw...kw
   
 8. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #8
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  very funny indeed! Dah kama na huyo ana mlinzi? Ashukuru Tz watu ni 'walokole' coz long time maamuzi magumu yangeshafanyika
   
 9. Abunwasi

  Abunwasi JF-Expert Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 3,166
  Likes Received: 1,064
  Trophy Points: 280
  Kama kweli wewe ni observant kama unavyodai hebu angalia vizuri hasa wale ambao hawamwangalii rais kabisa angalia kushoto/kulia/mbele na nyuma halafu tuambie
   
 10. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  hapo huyo ADC anamwelezea IG utamu wa mananasi ya GHANA waliyokula na mzee
   
 11. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Tanzania ni nchi ya amani. raisi hata bila ya bodyguard anaweza kutembea peke yake. kazi ya bodyguard ni kubeba mzigo kama raisi atanunua kitu njiani.
   
 12. kapolo

  kapolo JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 284
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huyo ni mpambe wa raisi...walinzi hukaa mbele na nyuma na suti zao..
   
Loading...