Msaada: Nani amemuiga nani hapa?

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Baada ya kuziona hizi picha, nikawa najiuliza ni nani kamuiga nani....?

Nataka kuamini kuwa ni bahati mbaya. Lakini bahati zitakuwaje mbaya zingali vyinyemi.

1.
b1663f7190abfe5f75446da46bce3277.jpg
1481921481095.jpg

2.
fc02b2dfb5d71a84cf45022c75dc7824.jpg
 
Samahan lakin kwa ntakao wakera, huyo rubi (mwenye nyekundu, hata kama si rubi) ni mbaya kwa kweli, yaani ni mbaya jumla jumla.

Samahan lakini kwa yeyote atakaye jiskia kwa kweli nimeshindwa kujizuia nisiseme
Hahahahahaaa mkuu umetoa ya moyoni bila samahan
 
Samahan lakin kwa ntakao wakera, huyo rubi (mwenye nyekundu, hata kama si rubi) ni mbaya kwa kweli, yaani ni mbaya jumla jumla.

Samahan lakini kwa yeyote atakaye jiskia kwa kweli nimeshindwa kujizuia nisiseme
Ni mawazo yko yenye mapepo ndani yke na so kila mtu lazma kwako umuone mzuri....Ruby muache tu maana hujui lolote,na c ajabu hiyo pic tu unaipigia nyeto
 
[HASHTAG]#justiceforLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenakiwahai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#FreeMaxeceMelo[/HASHTAG]
 
Samahan lakin kwa ntakao wakera, huyo rubi (mwenye nyekundu, hata kama si rubi) ni mbaya kwa kweli, yaani ni mbaya jumla jumla.

Samahan lakini kwa yeyote atakaye jiskia kwa kweli nimeshindwa kujizuia nisiseme
Hujapenda bampa lake?...
 
Back
Top Bottom