Msaada namna ya kuweka windows kwenye simu ya android

Labda theme tu lakini Windows kama windows ni Operating system inayojitegemea na Microsoft ndio wana hatimiliki nayo

Sidhani kama unaweza kuidownload na kuiweka kwenye simu ya android..Sanasana labda ununue simu yenye hiyo OS ya windows lakini kudownload mmmh....Ngoja wajuzi waje zaidi
 
kama sikosei ni themes tu au launcher basi!! sijui kama kwa android kuna zaid ya hapo
 
Habari wana jf naomba msaada wa namna ya kudownlod na kuweka Windows mobile kwenye cm ya android
Mkuu kwenye Adroid phone hakuna window kuna Launcher hii ukiidanilodi ndo unaweza kuitumia utakavyo kwa kuibadilishia themes na simu kuwa na muonekano mzuri uutakao.
 
Inaitwaje?
Zipo nyingi nenda playstore we andika launcher utachagua ya kuweka ila tafta yakuitwa HOLLA LAUNCHER MKUU imejikamilisha wew tu ujiongeze bt kwa window phone such as nokia unaweza badili window ila nyingi znacheza na w8 na w10
 
Iwe kama hv?
 
Attachments

  • IMG_20170611_194551.jpeg
    IMG_20170611_194551.jpeg
    73.7 KB · Views: 74
Labda theme tu lakini Windows kama windows ni Operating system inayojitegemea na Microsoft ndio wana hatimiliki nayo
Hahaha Jose ur multipurpose guy vyote wajua.

But kwa muuliza swali jibu nikwamba huwezi weka window OS kwa Android device kwasababu izo android device zimetengenezwa ku support Vitu vya android pekee.

Pili huwezi change OS ya simu niku upgrade tu.

Apps unazotumia kwenye simu most of them zimtengenezwa kwenye Android studio nahaiwezekani tumika kwenye OS nyingne laba developer atengeneze version ya App kwa OS husika japo kuna shortcut yakutengeneza hybrid App ambazo zinatumika kwa kila OS (but efficient yake sio kubwa, zina some limitations)

Usivoweza weka window OS kwenye computer za Apple ndo hivo hivo usivoweza weka Os ya window kwenye Android device. Kuna built in things za OS husika.

Hope umepata mwanga kidogo.
 
Shukrani sana mkuu..japo sio sana najua kidogo na ndio faida ya JF nimejifunzia kupitia huku....

Hakika huku ni sehemu nzuri ya kupatia maarifa
 
Aidha hujui OS ni nini au huijui unachotaka.
OS ni platform ya kuwezesha operation ya apps. Kifaa cha Android hakiwezi kuwa na OS ya Windows hali kadhalika iOS.
Unachoweza kufanya ni kupata mwonekano na sio kuweka OS nyingine.
Pia simu na kompyuta ni tofauti kidogo maana kwenye kompyuta -baadhi ya kompyuta unaweza kufuta na kuweka (installation) os nyingine kama ukatoa windows na kuweka Ubuntu au version tofauti za Windows ie window xp, vista, windows 7 nk
 
Back
Top Bottom