Msaada :Namna ya kuweka emoj kwenye post hapa JF.

Cathy Diwani

Senior Member
Feb 13, 2016
119
182
Habarini wana jamvi.

Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, ninaomba mniazime utaalamu wa namna ya ku apply emoj (zile za whatsapp)kwenye posts za hapa jf, 'cause mimi niki apply from my phone's keyboard nikipost hazitokei.

Je,ni aina ya Keyboard au kuna utaalamu wa ziada?

Natanguliza shukrani.
Cc:mad:chief mkwawa
 
1481218646128.png

1481218658511.png
 
Nadhami anamaanisha zile emoj za whatsapp maana hazipatikazani JF. Za JF sio nzuri kama za whatsapp. Mwenyewe najiuliza watu mnawekaje hapa
 
Na mimi pia sijui watu mnawekaje zile emoji aisee.@mamaafacebook II hebu mwaga mautundu hapa☺
 
Back
Top Bottom