kim tz Member Apr 12, 2017 7 4 Jun 4, 2018 #1 guys naomba kujua namna ya kutumia mouse moja kwenye computer mbili tofauti. i saw it somewhere. thanks
guys naomba kujua namna ya kutumia mouse moja kwenye computer mbili tofauti. i saw it somewhere. thanks
dronedrake JF-Expert Member Dec 25, 2013 23,216 54,840 Jun 4, 2018 #2 walichofanya apo ni ku 'extend display', kuunga monitor 2 kwa pamoja chomeka iyo monitor ya 2 kwenye host computer, kisha nenda display setting chagua 'extended display' apo mouse yako inapiga kazi kwa monitor zote 2
walichofanya apo ni ku 'extend display', kuunga monitor 2 kwa pamoja chomeka iyo monitor ya 2 kwenye host computer, kisha nenda display setting chagua 'extended display' apo mouse yako inapiga kazi kwa monitor zote 2
Kang JF-Expert Member Jun 24, 2008 5,495 2,250 Jun 4, 2018 #3 Kuna program inaitwa Synergy unaweza kutumia mouse moja kwenye computer tofauti kama zipo katika network moja. Hata kama ni Mac/Win/Linux Synergy - Mouse and Keyboard Sharing Software - Symless Mouse without Borders iko simpler ila ni Windows tu Download Microsoft Garage Mouse without Borders from Official Microsoft Download Center
Kuna program inaitwa Synergy unaweza kutumia mouse moja kwenye computer tofauti kama zipo katika network moja. Hata kama ni Mac/Win/Linux Synergy - Mouse and Keyboard Sharing Software - Symless Mouse without Borders iko simpler ila ni Windows tu Download Microsoft Garage Mouse without Borders from Official Microsoft Download Center