Msaada: Namna ya kuset internet ya halotel

Pilau masala

Member
Mar 8, 2016
33
28
Jamani mwenye uelewa wa jinsi ya ku set internet ya halotel kwenye simu za blackberry kwa kweli kwa jinsi wanavyo set kwenye android phones imeshindikana kabisa inaandika edge tu lakini 3G hakuna kabisa.

Naombeni msaada tafadhali!
 
Jamani mwenye uelewa wa jinsi ya ku set internet ya halotel kwenye simu za blackberry kwa kweli kwa jinsi wanavyo set kwenye android phones imeshindikana kabisa inaandika edge tu lakini 3G hakuna kabisa naombeni msaada tafadhali!
Hivi blackberry ndio nini?
 
Nenda kwnye settings then Tafta kitu kinaitwa APN then andika hivi "b-internet" then save
 
Yaani yenyewe kwenye APN ina
Access point name (APN)
User name
Password
Authentication type
basi sehemu unayotakiwa kuandika b-internet ndo siioni sasa ni tofauti na Android phones zenyewe ni rahisi tu ku set lakini hii wakuu naweza sema imenishinda labda kama kuna maelekezo ya ziada
 
Back
Top Bottom