Msaada Namna ya Kurusha Content Live Kwa Kutumia OBS

Gef

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
472
401
Hellow Wandugu Naombeni Mwenye kujua maujanja ya kurusha tukio live kwa kutumia Obs Studio Pasipokuwa na kile kimashine cha Live Please naombeni waja mnisaidie.

Nb:Kwa walio serious na wanaojua wasije wahuni wale wa "Watakuja" " Mstari wa Mbele" Usije Please
 
Habari Gef

Nadhani zingatia hizi tutorials kuelewa kwa sauti na maono. Nimekosa wasaa wa kueleza.

Hellow Wandugu Naombeni Mwenye kujua maujanja ya kurusha tukio live kwa kutumia Obs Studio Pasipokuwa na kile kimashine cha Live Please naombeni waja mnisaidie.

Nb:Kwa walio serious na wanaojua wasije wahuni wale wa "Watakuja" " Mstari wa Mbele" Usije Please
Swali la kwanza unachukua tukio live likiwa nje ya mfumo yaani computer?

Kama ndio ni camera ya aina gani unayo?
Kama ni ndani ya mfumo wa computer unachukua kwenye screen ya computer ama web cam?

Jibu hayo maswali kwanza
 
Nachukulia kwny camera kizazi cha Canon then ngoma ije kweny pc nianze kustreem
 
Tafuta video cable na camlink huwezi kukwepa hivi vifaa, ile video cable ya canon sijui bei yake ila kama uko dar nenda kwenye maduka ya camera au electronic espy wale wauza pc utapata
 
  • Thanks
Reactions: Gef

Similar Discussions

Back
Top Bottom