Msaada namna ya kupata wateja kupitia Facebook and Instagram ads

malembeka18

JF-Expert Member
Jan 26, 2018
1,172
2,000
Wakuu naomba tuelimishane namna yakupata wateja na changamoto ya kupromote page Instagram na facebook
 

andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,170
2,000
Mkuu,umeuliza swali zuri sana,Moja kati ya changamoto ambayo ninaiona kwa wajasiriamali wengi ni kufikiri kwamba ukishatangaza instagram/fb/google basi wateja wanamiminika.Ukweli ni kwamba sio rahisi hivyo.Kutangaza mtandaoni lazima uwe na mkakati(Strategy) ambayo utadefine goals zako,namna utakavyozipima n.k.Hivyo basi ili kupata wateja kwa njia ya mtandao lazima ujiulize maswali ya msingi kama vile unahitaji wateja wa aina gani,wako wapi,wanaweza kununua bidhaa au huduma yako?Utawafikiaji etc.Ni lazima uanza na kujenga kitu kinaitwa demography kisha,uje utengeneze kitu kinaitwa strategy na kisha uwe na metrics zako mwenyewe.

Iwapo unagependa kufahamu zaidi tafadhali nicheck PM ili nikupe Ratiba ya Darasa ambalo linaweza kukusaidia zaidi kupata wateja kwa njia ya mitandao kwa kuzingatia mbinu za kisasa ambazo zinaunganisha online,offline na mbinu nyingine za masoko
 
  • Thanks
Reactions: _ly

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom