incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,459
- 4,050
Wakuu naombani msaada wenu
Usiku wa kuamkia leo nimeibiwa room kwangu Sim mbili, laptop na wallet ikiwa na kitambulisho cha Chuo kikuu cha Dodoma, kadi ya Bima ya Afya na hela ndani ya wallet nimejaribu kuripoti kituon wameniambia kuweza kupata hyo simu ni vigumu na itachukua mda hali ambayo mimi binafsi itanipotezea mda na istoshe ndio tunakaribia katika kipindi cha mitihani ya Chuon na kitambulisho ndio nitatumia katika mihihani hyo pia.
Ningependa msaada wenu kwa anaeweza kunisaidia namna ya kutrack sim ili alieibeba akiingiza lain yake niione namba ikiyotumiwa kwenye ile simu kwani tayari nina IMEI ya simu iliyoibiwa na email yake ipo active had mda huu.
Naombeni msaada kwa anaeweza kunisaidia namna ya kupata namba itakayoingizwa kwenye ile sim ili inipe urahisi wa kumpata alieniibia.