Korozoni
JF-Expert Member
- Oct 24, 2016
- 264
- 105
Habari za muda huu wana jukwaa la afya!
Kwa wiki kama mbili nimekuwa nikikabiliwa na tatizo la mafua,baada ya kutumia dawa aina ya Piriton(mafua yamepoa),lakini hivi karibuni kamasi zimekuwa zikitoka zikiwa na uchafu mweusi sana kiasi cha kunitia hofu!
Tatizo la mafua lilinianza baada ya kutumia muda mwingi shambani nikipalilia mahindi.
Mwenye utaalamu na hili anisaidie tafadhali.
Jioni njema!