baba mausingizi
Senior Member
- Jun 15, 2016
- 189
- 119
Naamini mpo salama,poleni na majukumu,kama nilivyoeleza niliweka password kwenye simu na nimezisahau nimejaribu kurestat imekubali ila bado inanidai password simu ni Tecno pover air 3
peleka kwa fundiNaamini mpo salama,poleni na majukumu,kama nilivyoeleza niliweka password kwenye simu na nimezisahau nimejaribu kurestat imekubali ila bado inanidai password simu ni Tecno pover air 3
Fanya hivo. Ila jua utafuta data zilozopo kwenye simu , hii ni njia mojawapo ya kufomat simu.Zima simu yako , bonyeza volume + - then power off ndani ya dakika moja , kitakachokuja tuma screenshort.
Hiyo ni kubypass FRP au ku hard reset simu?Kama upo Dar nicheki.
Nilipe 10,000.
Ila kama unajisikia kujaribu fanya hivi.
ShikiliaVolume+ button na Power button. Simu ikiwaka achia Power button endelea kushikilia Volume+.
Ikija interface ya No Command. Bonyeza power na volume+ button kwa sekunde 3 ili ikufikishe kwenye recovery interface.
Ukifika kwenye recovery. Kama chini kabisa kuna option ya More, ifuate hiyo na wipe data kwa kuingilia hapo kama haipo kubali tu kuwipe data.
Baada ya kuiwasha simu utatakiwa kuweka email na password yako ya kabla hujarestord simu.
Kama huna tafuta uzi wangu wa kubypass frp utakuongoza
Zima simu yako , bonyeza volume + - then power off ndani ya dakika moja , kitakachokuja tuma screenshort.
Hivi si usome mpaka mwisho uelewe?Hiyo ni kubypass FRP au ku hard reset simu?
FRP - Factory Reset Protection haiondolewi kizembe hivo.
Plus, kama password ya email anayo, aendelee kukosea na kukosea mara nyingi sana mpaka simu imuombe areset password kwa email. Hamna haja ya kuwipe data.
Kama simu sio yake na ni Android 8+ good luck bypassing FRP kwenye hiyo kitu
Hivi si usome mpaka mwisho uelewe?
Huoni nimesema kama hakumbuki password na email autafute uzi wangu unaozungumzia kubypass frp?
Na ninasema frp zinatolewa kizembe. Pigana basi