Kimpyempye
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 722
- 1,147
Hivi karibuni Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza maombi ya mafunzo ya ualimu ambayo deadline ya kuomba ni kesho kutwa.Naona ukiingia utakuta kuna options ama njia mbalimbali za kulipia. Cha ajabu haijaelezwa muombaji anatakiwa kulipia shilingi ngapi!Mwenye ufahamu msaada tafadhali