Msaada: Namna ya kujitoa kupata taarifa ya ujauzito kutoka huduma ya afya kwenye simu

mysimu

Senior Member
May 2, 2017
151
44
Wadau,

Nilijiunga na huduma ya mtoto kwa 15001 ila bahati mbaya imekua sio riziki ila kila siku napata taarifa. Nataka nijitoe kwenye huduma hii ila nimeshindwa kujitoa. Naomba msaada namna ya kujitoa.
 
Wadau nilijiunga na huduma ya mtoto kwa 15001 ila bahati mbaya imekua sio riziki ila kila siku napata taarifa. Nataka nijitoe kwenye huduma hii ila nimeshindwa kujitoa. Naomba msaada namna ya kujitoa.
Pga sim kwa mtandao husika ,,pole sana
 
Back
Top Bottom