saede mbondela
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 368
- 237
- Thread starter
- #21
Nashukuru sana.1. fanya mazoezi daily.
2. hakikisha unapata walau masaa 7 ya kulala usiku.( hakikisha pia hulali sana, usilale zaidi ya masaa 8 kw siku).
3. Tenga muda mzuri wa kusoma, sio muda wote utaweza kusoma na ukawa active with full concentration. inashuriwa upange muda wa asubuhi kwa ajili ya kusoma vitu vigumu na jioni kwa vitu vyepesi.
4. hakikisha unaweka mazingira rafiki ya kusoma, ukisoma juu ya kitanda hapo utakua unajidanganya.
5. tafuta kampan wakat wa kusoma, mkiwa wawili mnasoma unaweza kupata morale na ww ya kuchimba.
6. Take short breaks wakat unasoma, usisome tu mfululizo. kwa kila lisaa 1 la kusoma make sure unatenga 10 minutes kwa ajili ya kupumzika kdogo.
7. Diet is also important, too much consumption ya sugars itakufanya ujisikie mchovu muda wote.
8. drink enough water, ubongo unakua mzito sana ukiwa dehydrated.
9. Kaa mbali na destructions wakati wa kusoma ili ubongo nao uweze ku concentrate kwenye kusoma.
10. last but not least, make sure unajenga mutual interest na unacho kisoma, yaani penda masomo yako, ubongo unakua excited unaposoma masomo ambayo unayapenda na unakua na resisting effect kwa masomo usiyoyapenda.
Naenda kufanyia kazi ushauri wako in shaa Allah