Msaada namna ya ku-upgrade firmware kwenye simu za samsung

Ntandaba

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
922
1,465
Naombeni msaada wenu njia ya ku-upgrade firmware,je bila laptop inawezekana?au internate cafe inawezekana?
Naombeni mnisaidie
 
Bila laptop au computer, haiwezekani.
Kuhusu kwenye cafe itawezekana endapo tu utakua na software sahihi kwa ajili ya siku yako.
1 Odin
2 Samsung drivers
3 firmware yenyewe.
Na pia uwe na USB cable original.
Mpaka hapo Kama unazijua njia za kufuata, utaweza kufikia azma yako.
Kama computer ni tatizo basi baki na njia ya ku upgrade kwa kutumia simu yenyewe yaani yaani kule kwenye settings "about device'
 
Ahsante sana
 
bila laptop nenda setting kisha about kisha software update kisha check update.
Mkuu Chief Mkwawa
Hii Njia Uliyosema Ni Mpaka Kuwepo Update Maana Ikiwa Hakuna Itabidi Uwe Mpole Hadi Utakapo Letewa
Natumia Samsung Galaxy J3 ■6LTE
Juzi Hapa Iliniletea Update Kwa Njia Uliyoitaja Nikatumia WI fi Nika Update
 
Naombeni msaada wenu njia ya ku-upgrade firmware,je bila laptop inawezekana?au internate cafe inawezekana?
Naombeni mnisaidie
Bila pc uta udate by "OTA UOPDATE" unayoipata kwenye settings>about phone>software update>check for updates then if there is one, uta update otherwise kama simu haipokei OTA update flash custom rom kwa software husika.
 
Back
Top Bottom