Msaada: Namna ya ku share taarifa JF toka chombo kingine cha habari

Meatu01

Senior Member
Dec 20, 2016
169
94
Naombeni munifundishe jinsi ya kushea taarifa kutoka chanzo kingine cha habari kuja jamii forum
 
Naombeni munifundishe jinsi ya kushea taarifa kutoka chanzo kingine cha habari kuja jamii forum
nenda kwenye chanzo cha habari unayotaka kushare kisha unaclick copy kishaa toka nenda sehemu ambayo anataka kushare hiyo habari click paste, utakuwa umeshare hiyo habari
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom