Msaada: namna gani ya kufix ttzo la screen ya tv inayoonesha mistari na rangi kubadilika... Picha kuonesha na kuganda

STERLING2014

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
239
72
Wakuu msaada wa kutatua ttzo la led screen inayoonesha mostari ya white picha kufifia na rangi kubadilika.. Mara inakuwa kama dhambarau mara normal... Picha kuonesha imefifia na hata kuganda au picha nyingine inaganda na nyingine ina move.... Msaada wenu plz.... Nmeamka nakuta ili ttzo.... Lkn na wasiwasi msaidizi kasafisha kioo cha scren kwa kitambaa cha maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hz hapa chini pichaView attachment 1017576
IMG_20190209_114723.jpeg
IMG_20190209_115011.jpeg
IMG_20190209_115007.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilo tatizo kutatika au dead line,hakuna njia iliyothibitika ya kuunganisha laini izo bali kuna njia ya kutumia short spark juu ya kio cha tv, inahitajika short inayopiga mstar ka radi vile kuna njia za kutengeneza kifaa kitachowezesha style iyo ya shot kwa kutumia coil na magnet lakin pia kuna vifaa vinavyo vitu vitoavyo moto wa aina iyo na bei zake ni 500,ikiwa utahitaji nilipe nikutajie kitugani ukanunue utoe icho kifaa
 
Mkuu nielezee plzz mkuu... Yaani cna hamu tena ya kucheki tv kwa sababu ya ukungu unaoletwa na mistari iyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kioo kimegongwa hicho so kuna mawili ama loose connection hapo fundi anahusika au kioo kime uaribika kwa kugongwa au kukandamizwa wakati wa kukifuta hasa kina mama na kina dada wakiwa wana kifuta.
 
Kioo kimegongwa hicho so kuna mawili ama loose connection hapo fundi anahusika au kioo kime uaribika kwa kugongwa au kukandamizwa wakati wa kukifuta hasa kina mama na kina dada wakiwa wana kifuta.
Na wasiwasi na iyo ishu ya pili maana uyu mdada nlivomuuliza umesafisha tv alishtuka sana alikataa lkn badae akakubali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom