Msaada: Namna bora ya kufanya hesabu dukani

Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
5,416
Likes
195
Points
160
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
5,416 195 160
Wakuu,

Natarajia kuwa na duka kwa mara ya kwanza, duka ni la bidhaa za matumizi nyumbani mfano chumvi, sukari, dawa ya meno n.k.

Kwakweli sijui namna bora ya kujua hesabu ya bidhaa zilizouzwa na zile zilizobaki dukani, ukizingatia nitaweka mfanyakazi.

Naomba wazoefu mnisaidie mambo ya kufanya ili angalau mahesabu ya bidhaa dukani yadhibitiwe vizuri.

Karibuni nyote na ahsanteni!
 
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined
Sep 1, 2011
Messages
3,235
Likes
87
Points
135
Fadhili Paulo

Fadhili Paulo

Verified Member
Joined Sep 1, 2011
3,235 87 135
Tafuta software zinazohusiana na accounting kama vile tally, quickbooks etc
 
Mtanganyika

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2007
Messages
1,611
Likes
335
Points
180
Mtanganyika

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined Jul 18, 2007
1,611 335 180
simple Add 30% on anything unachouza
 
C

cashmoney

Member
Joined
Dec 14, 2011
Messages
90
Likes
3
Points
0
C

cashmoney

Member
Joined Dec 14, 2011
90 3 0
unahitaji vitabu (nunua hata counter books) vya kumbukumbu za hesabu kama vile : KITABU CHA MATUMIZI, KITABU CHA MANUNUZI, KITABU CHA MAUZO, KITABU CHA MADENI - kwa unaowadai na wanaokudai, KITABU CHA MALI YA BIASHARA, KITABU CHA STOCK. Vilevile unahitaji kununua mafaili ya kutunzia stakabadhi za manunuzi, malipo, bank slips, mikataba, na nyinginezo ktk mpangilio kila moja na faili lake. Pia unatakiwa kuwa na diary au note book kubwa kuandika bidhaa ambazo hautakuwa nazo wateja ambazo wateja wamehitaji (missing items) ili kukupa kumbukumbu za kuzinunua. Kitu kingine panga vitu ktk mpangilio mzuri usifanye duka ili mradi duka, panga vitu vinavyofanana kwa pamoja na usijaze items nyingi ktk display kwa pamoja. Kauli nzuri kwa wateja, uharaka, uhakika, ubora na hali ya kujali wateja ndo uchawi wako ktk biashara hii. Usisahau kufuga paka mdogo kufukuza panya. JINGINE MUHIMU, hakikisha kila siku asubuhi unapeleka mauzo ya jana yake benki kabla ya kuyatumia, pia usajili biashara yako na uifungulie akaunti ambayo itakuwa na jina la hiyo biashara (mfano MAJIGO RETAIL SHOP).
 
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
5,416
Likes
195
Points
160
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
5,416 195 160
shukran sana wakuu
hasa CASHMONEY
USshauri wako nimeupenda
 
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Messages
11,821
Likes
767
Points
280
Marire

Marire

JF-Expert Member
Joined May 1, 2012
11,821 767 280
usisahau MASHINE ZA tra
 
Sunshow

Sunshow

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Messages
1,130
Likes
215
Points
160
Sunshow

Sunshow

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2011
1,130 215 160
Ni biashara ngumu kidogo kuidhibiti mfano mfuko wa sukari kg 50 badala ya kutoa faida unaweza kukuletea hasara kubwa sana maana akiuza kg 3 na asiweke kwenye hesabu si rahisi kutambua hivyo basi ni vizuri ufahamu mtaji wako ni kiasi gani na ufanye mahesabu ya mali yote dukani mara nyingi uwezavyo kujua dhamani halisi ya duka lako.
 
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
5,416
Likes
195
Points
160
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
5,416 195 160
Ni biashara ngumu kidogo kuidhibiti mfano mfuko wa sukari kg 50 badala ya kutoa faida unaweza kukuletea hasara kubwa sana maana akiuza kg 3 na asiweke kwenye hesabu si rahisi kutambua hivyo basi ni vizuri ufahamu mtaji wako ni kiasi gani na ufanye mahesabu ya mali yote dukani mara nyingi uwezavyo kujua dhamani halisi ya duka lako.
mkuu umekumbusha suala muhimu
ila kufanya stock simchezo
itabid angalau niwe nafanya kila baada ya wiki 1
nashukuru sana!
 
I

iMind

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2011
Messages
1,958
Likes
539
Points
280
I

iMind

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2011
1,958 539 280
unahitaji vitabu (nunua hata counter books) vya kumbukumbu za hesabu kama vile : KITABU CHA MATUMIZI, KITABU CHA MANUNUZI, KITABU CHA MAUZO, KITABU CHA MADENI - kwa unaowadai na wanaokudai, KITABU CHA MALI YA BIASHARA, KITABU CHA STOCK. Vilevile unahitaji kununua mafaili ya kutunzia stakabadhi za manunuzi, malipo, bank slips, mikataba, na nyinginezo ktk mpangilio kila moja na faili lake. Pia unatakiwa kuwa na diary au note book kubwa kuandika bidhaa ambazo hautakuwa nazo wateja ambazo wateja wamehitaji (missing items) ili kukupa kumbukumbu za kuzinunua. Kitu kingine panga vitu ktk mpangilio mzuri usifanye duka ili mradi duka, panga vitu vinavyofanana kwa pamoja na usijaze items nyingi ktk display kwa pamoja. Kauli nzuri kwa wateja, uharaka, uhakika, ubora na hali ya kujali wateja ndo uchawi wako ktk biashara hii. Usisahau kufuga paka mdogo kufukuza panya. JINGINE MUHIMU, hakikisha kila siku asubuhi unapeleka mauzo ya jana yake benki kabla ya kuyatumia, pia usajili biashara yako na uifungulie akaunti ambayo itakuwa na jina la hiyo biashara (mfano MAJIGO RETAIL SHOP).
Imekaa vizuri.
 
Bw.Daffa

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
421
Likes
36
Points
45
Bw.Daffa

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
421 36 45
Kwa Angalizo,kuwa makini sana na Kukopesha mf. Faida ya vocha hua ni dogo sana Hivyo kumkopesha mtu vocha unaweza ukose hata Ela ya kununulia zngne
 
Bw.Daffa

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
421
Likes
36
Points
45
Bw.Daffa

Bw.Daffa

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
421 36 45
unahitaji vitabu (nunua hata counter books) vya kumbukumbu za hesabu kama vile : KITABU CHA MATUMIZI, KITABU CHA MANUNUZI, KITABU CHA MAUZO, KITABU CHA MADENI - kwa unaowadai na wanaokudai, KITABU CHA MALI YA BIASHARA, KITABU CHA STOCK. Vilevile unahitaji kununua mafaili ya kutunzia stakabadhi za manunuzi, malipo, bank slips, mikataba, na nyinginezo ktk mpangilio kila moja na faili lake. Pia unatakiwa kuwa na diary au note book kubwa kuandika bidhaa ambazo hautakuwa nazo wateja ambazo wateja wamehitaji (missing items) ili kukupa kumbukumbu za kuzinunua. Kitu kingine panga vitu ktk mpangilio mzuri usifanye duka ili mradi duka, panga vitu vinavyofanana kwa pamoja na usijaze items nyingi ktk display kwa pamoja. Kauli nzuri kwa wateja, uharaka, uhakika, ubora na hali ya kujali wateja ndo uchawi wako ktk biashara hii. Usisahau kufuga paka mdogo kufukuza panya. JINGINE MUHIMU, hakikisha kila siku asubuhi unapeleka mauzo ya jana yake benki kabla ya kuyatumia, pia usajili biashara yako na uifungulie akaunti ambayo itakuwa na jina la hiyo biashara (mfano MAJIGO RETAIL SHOP).
Ooh thanks Mkuu I was well taught then,
 
Cassava

Cassava

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2010
Messages
282
Likes
7
Points
35
Cassava

Cassava

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2010
282 7 35
Ooh thanks Mkuu I was well taught then,
HABARI WAKUU,

Cash maney NAkushukuru sana kwa mwongozo wako wa namna ya kutunza kumbukukumbu za Duka. hata hivyo mimi nina shida kidogo namna ya ku itemize bidhaa hizo katika vitabu husika.

kwa mfano kitabu cha manunuzi, au kitabu cha mauzo, nita itemize vitu gani? Nikichora Table nitaiwekaje kuonesha bidhaa zilizonunuliwa?

samahani ndugu kwa usumbufu. Ingawa posti ni ya siku nyingi lakini ni ya manufaa.

tafadhali ndugu nisaidie.
by Cassava a.k.a (Mhogo)
 
Michael Chairman

Michael Chairman

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Messages
918
Likes
523
Points
180
Michael Chairman

Michael Chairman

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2015
918 523 180
Mfano kitabu cha gharama za manunuzi.

[table="width: 500"]
[tr]
[td]m[/td]
[td]i[/td]
[td]t[/td]
[td]j[/td]
[/tr]
[tr]
[td][/td]
[td][/td]
[td][/td]
[td][/td]
[/tr]
[tr]
[td][/td]
[td][/td]
[td][/td]
[td][/td]
[/tr]
[/table]
ab
m =maelezo i=idadi t= tsh j = jumla
 
Ngamba

Ngamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2013
Messages
701
Likes
54
Points
45
Ngamba

Ngamba

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2013
701 54 45
HABARI WAKUU,

Cash maney NAkushukuru sana kwa mwongozo wako wa namna ya kutunza kumbukukumbu za Duka. hata hivyo mimi nina shida kidogo namna ya ku itemize bidhaa hizo katika vitabu husika.

kwa mfano kitabu cha manunuzi, au kitabu cha mauzo, nita itemize vitu gani? Nikichora Table nitaiwekaje kuonesha bidhaa zilizonunuliwa?

samahani ndugu kwa usumbufu. Ingawa posti ni ya siku nyingi lakini ni ya manufaa.

tafadhali ndugu nisaidie.
by Cassava a.k.a (Mhogo)
mbona rahisi tu we fanya hivi
tengeneza table itakayokuwa navichwa vya habari kama vile:- 1.item no(number). 2. Item description (mzigo uliochukua/jina) , 3. quantity(jumla ya mzigo iliochukua) , 4, rate(bei ya kila kimoja) ,5 Amount( jumla ya hela uliyolipa)
ukitengezeka kama hapo juu na kila ukileta mzigo unaigiza kwenye sheet/ukurasa wake itakurahishia kujua unatia kiasi gani, kingine usisahau pia kuingiza garama ya kugikisha mzigo kwenye frame yako I.e garama ya usafiri
 
M

mwamba gilba

New Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
1
Likes
0
Points
3
M

mwamba gilba

New Member
Joined Feb 5, 2018
1 0 3
Usisahau daftari mali bila ya daftari hupotea bila ya habari
 
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Messages
1,729
Likes
1,030
Points
280
A

antimatter

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2017
1,729 1,030 280
Duka la mangi..
 
Forum statistics

Threads 1,274,860
Members 490,833
Posts 30,526,125