Msaada: Namba ya WhatsApp ikipigwa ban

Kigoma Independent

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
3,519
2,047
Jamani WhatsApp wameniambia namba yangu ya WhatsApp iko Banned ila sijui chanzo wala tatizo nililolifanya naombeni msaada jamani.
 
Kunaactivities umefanya ambazo zinakinzana na terms and conditions ulizokubaliana nao.
Sasa hapo ndo hawataki kunijuza na niliwatafuta kwa email na wanadai hawawezi nambia sababu, ila wanadai tu nilikinzana na terms na conditions zao, but sijui kivipi...?
 
Kunasample email moja niliipata kutoka kwa wahindi fulani hivi. Iliniweezesha number yangu kuwa unban with a day.
 
Mkuu Whatsapp wana term na condition zao kwa wateja wao namna gani ya kuitumia bila kuharibu hayo masharti. Kwa swala lako ni lazima kuna violence umefanya kwa kutokujua au makusudi au kuna mtu amekuripoti kwa activity zako ndo maana umefungiwa. Hapo tafuta line ingine then endelea kutumia Whatsapp.
 
Back
Top Bottom