Msaada: Namba ya WhatsApp ikipigwa ban

Mkuu Whatsapp wana term na condition zao kwa wateja wao namna gani ya kuitumia bila kuharibu hayo masharti. Kwa swala lako ni lazima kuna violence umefanya kwa kutokujua au makusudi au kuna mtu amekuripoti kwa activity zako ndo maana umefungiwa. Hapo tafuta line ingine then endelea kutumia Whatsapp.
Daaaaaah sawa, but hawatoi taarifa mkuu ndo tatizo yaani mtu haujui tatizo lako.
 
Mwenye tatizo la kufungiwa WhatsApp (WhatsApp banned) nicheki kwa namba 0684448888 tuone namna gani ya kusaidiana
Screenshot_20230712-140046.jpg
 
Mimi ilinitokea hio nikaandika Email Whatsapp Support nika adress hio Concern na wakanifungulia kwa warning kuwa nisitumie unofficial Whatsapp
 
Back
Top Bottom