bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,002
- 701
Hahahahah.
Dr mshana haya mteja huyo.
Muite kilinge Cha msata.
Pole sana sikuwa hewani kwa siku kadhaa takucheki pm japo sifanyi ulozi tenaNaombeni mnisaidie namba ya simu ya mshana jr japo najua atakuwa amesoma hii thread ni muhimu sana ndugu mshana naomba mawasiliano yako mkuu ninandugu yangu anasumbuliwa na matatizo ya kichawi najua wewe ndio muarubaini wa hayaambo unaweza ukanipa tiba ama ushairi kwako Mshana Jr
Nimefika kakaAnakuja ulipo yupo
Pole sana sikuwa hewani kwa siku kadhaa takucheki pm japo sifanyi ulozi tena
Unatafuta kurogwa? Huyo mchawi eti, shauri yakoNaombeni mnisaidie namba ya simu ya mshana jr japo najua atakuwa amesoma hii thread ni muhimu sana ndugu mshana naomba mawasiliano yako mkuu ninandugu yangu anasumbuliwa na matatizo ya kichawi najua wewe ndio muarubaini wa hayaambo unaweza ukanipa tiba ama ushairi kwako Mshana Jr
Dah..Unatafuta kurogwa? Huyo mchawi eti, shauri yako