Msaada: Najiandaa kwenda kutambulishwa ukweni kwenye familia ambayo baba na mkwe ni wakorofi

Mtoto wa kike hufuata tabia za mama yake na mtoto wa kiume hufuata tabia za baba yake,ikitokea mkapishana kauli na mwenza wako wanatakiwa kuwaweka chini wazazi sasa kama wazazi vibati vimelegea jua mtihani huo, hapo chukua hatua mapeeeeeema
Ukitaka kuishi maisha mafupi duniani,au ndoa chungu oa familia za wakoloni.

Wakorofi bila ngumi uendi,ngumi kwa sasa sio maisha
 
Vaa koti kubwa na rungu kama la kipepe mgongoni usisahau kuondoa aibu kwa kunywa ngumu moja glass kama mbili hivi
 
Back
Top Bottom