Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,602
- 5,569
Wakuu Habari zenu? Naomba msaada wa drivers na software kwa mashine ya kuremba kucha NAIL D PRINTER (CHINA MADE) Haina model wala serial number ila computer inaitambua kama Lenovo 3000 Series uki install katika windows 7 printer inaonekana camera yake inapotea na ukiinstall kwenye windows xp kama inavyotakiwa camera inaonekana printer inapotea. Software iliyopo ni ya kichina ni vigumu kuitumia msaada kwa mwenye ufahamu zaidi wadau.