hermanthegreat
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 851
- 2,023
Nina miaka 20, lakini sijawahi kuwa kwenye mahusiano na msichana yeyote. Siko romantic kabisa.
Sina aibu lakini najikuta nashindwa kutabasamu mara kwa mara na msichana jambo linalopelekea wengi wao waniogope.
Ninatumia njia ya kufanya mazoezi kupunguza hisia za mapenzi, sijisikii vibaya kuwa mpweke, napojitahidi kutongoza msichana najikuta naanza kumshauri badala yake.
Mbali na kuwa vizuri kitaaluma pia niliwahi kuwa head boy (hp) shuleni lakini hiyo haikuwa na msaada wowote kwangu kupata watoto wazuriwazuri, nahofia nitakuwa single milele nifanyeje?