Uko sahihii mkuuuMkuu kama upo Dar nenda mtaa wa Samora kuna duka maarufu kubwa la vitabu la TPH. Sio mbali na sanamu ya askari monument. Hapo kuna vitabu vyote vya zamani na sasa vya kila aina. Utapata hadi vile vya Alfu Lela Ulela, vile vya kitambo maarufu vyote.
Ahsante sana kiongoziMkuu kama upo Dar nenda mtaa wa Samora kuna duka maarufu kubwa la vitabu la TPH. Sio mbali na sanamu ya askari monument. Hapo kuna vitabu vyote vya zamani na sasa vya kila aina. Utapata hadi vile vya Alfu Lela Ulela, vile vya kitambo maarufu vyote.