Msaada nahitaji research proposal

trezguet

Member
Oct 21, 2012
33
4
Wanajamvi naombeni msaada wa reseach proposal kwaajili ya shule ni muhimu sana ikiwesekana kabda ya tarehe 20/12 niwe nshaipa kwa soft copy nitashukuru sana kwa mchango wenu
 
tengeneza titlle dogo ww mwenyewe acha uzembe nikikupa proposal mm nije kuchukua hiyo ba mm
 
Proposal za aina gani na una shilingi ngapi nikurushie sasa hivi.Andaa laki moja nikurushie proposal in kila kitu mpaka work plan na budget.
 
Proposal za aina gani na una shilingi ngapi nikurushie sasa hivi.Andaa laki moja nikurushie proposal in kila kitu mpaka work plan na budget.

Kwa style hii kweli Tanzania tukiwa na Wasomi hamnazo tutamlaumu nani? Msomi unaomba kutumiwa Proposal ili iweje? Kwa nini usiandike mwenyewe? Sana sana ungeomba wadau wakusaidie ku-improve ideas zako ili uweze toka na ni kitu kizuri. Omba ufundishwe jinsi ya kuvua samaki na sio unaomba samaki!!
 
Nina proposal yote na research yake so ntafte ila andaa kama sitini iv tmalizane na ujichagulie mwenyewe
 
!
!
nadhani iandike vyovyote vile ujuavyo then ipost humu jf tuiboreshe,nafhani in a day and a half kazi itakuwa imeisha.
 
Wanajamvi naombeni msaada wa reseach proposal kwaajili ya shule ni muhimu sana ikiwesekana kabda ya tarehe 20/12 niwe nshaipa kwa soft copy nitashukuru sana kwa mchango wenu

Nimeshakushtukia na Najua tupo Wote Kwa Mwalimu au Kwa Mhadhiri Dr. Lyimo pale Chuo chetu Kikuu cha Papa Francis Msimbazi Centre ambapo Tumeambiwa Tuandae Proposal na Mwisho wa Kuikusanya ni Tarehe 21 Mwezi huu. Mnaomcheka Mshikaji Acheni Unafiki hivi Mnataka Kuniambia Hata Nyie Mlifanya Wenyewe Proposals na Thesis Zenu? Wanafunzi Wengi au Wasomi Wengi Tanzania tena Haswa wa Vyuo Vikuu Kwa Asilimia 75 hadi 90 Research au Thesis Zetu Tuna Copy Kutoka Kwa Washikaji Wetu Wengine wa Vyuo Vingine Hivyo Tusiwe Waongo Humu na Isitoshe Wengi Tunasoma Kutafuta tu Ujiko na Tupande Vyeo au Tupate Mshiko Mkubwa na Tutambe hapa Mjini Period. Hata Kama Ukimcheka Kuwa Anaomba Proposal Lakini Mwenzako Ata Copy Ataimeza na Kuitetea na Kupata Masters Yake na Atakuzidi Kielimu na Kimshiko. Cha Muhimu ni Pesa tu na Titles.
 
Hebu umiza kichwa kijana!! ninaweza nikakupa ila ikawa ngumu!! kwan mda wote ulisoma nn?!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom