Msaada: Nahitaji picha moja ilipigwa Ikulu....

Keynez

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
2,397
3,884
Mods heshima zenu. Naomba muache uzi huu at least kwa muda fulani au hadi nitakapopata msaada kwa sababu naihitaji sana hii picha ndiyo maana nimeileta kwenye sehemu ya watu wengi.

Kuna picha moja ilipigwa Ikulu ikimuonyesha Balozi wa Israeli akiwa anatoka akiwa peke yake. Nadhani ilipigwa mwaka 2016. Naomba saaana mtu anisaidie kuipata.

Natanguliza shukrani.
 
Ungeambatanisha ni tukio gani mkuu lilifanyika

Sikumbuki ila nadhani alienda tu kwa kikao ila kuna kitu special nilikiona kwenye ile picha. Yaani cha kushangaza hata google hajanipa ushirikiano sijui imefutwa!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom