Msaada: Nahitaji mtu wa kujitolea kunifundisha kuendesha gari

Upo Arusha.. Dah ungekuwa Dar ningejitahidi kukufundisha bila kuchangia chochote (USIKU ZAID) ,ila utapata wadau huko.. Watakusaidia.
 
Nenda Kibo driving Arusha, ipo Philips, mtafute mtu anaitwa Innocent, anaweza kukusaidia kusoma kwa kulipia ada kidogo kidogo, ukimaliza utapata cheti
Au kama kuna mtu anaweza kunilipa driving kwa jioni nkishatoka kibaruani naingia tunaweza weka makubaliano kila mwezi ntamlipa kiasi kidogo dogo mpaka hela yake aliyotumia kwa driving and licence itimie
 
Ni kweli mkuu ndo najichanga changa mkuu ila pia muda wa kukaa driving school ntaukosa ndo mana nataka kujua kwanza then siku nkipata hela naenda chap tu driving school hata within week ntakuwa tayari nshapata cheti
Driving school ni Massa na unachagua mwenyewe.Waweza waambia Wawe wanakufubdisha masaa kadhaa jumamosi au jumapili hawana shida.Wako watu hufundishwa lunch time wengine wakitoka kazini,au chuoni nk
Magari ya driving school Yana bima za mwanafinzi hizo za nyumbani ukipata ajali na mwanafunzi bima hailipi hata uwe na bima comprehensive.Kama alikuwa aliendesha mwanafunzi hawalipi
 
Hela ya driving school kwa sasa sina mkuu
 
Kwa utambulisho tu mimi ni mhitimu wa Diploma katika faculty ya engineering ivo site nyingi ninazo omba wanataka Technician with a driving licence nimemaliza chuo mwaka huu
 
Back
Top Bottom