Msaada: Nahitaji mtu wa kujitolea kunifundisha kuendesha gari

Chief nenda YouTube andka how to drive manual or automatic car...Checking Hizo video clip walau siku 7...Nenda driving school wambie unataka upate certificate ukachukue license, Watakupa text fata Yale maelekezo ya video clip..Smart phone yako ina kila elimu na ujuzi unaotaka,
 
Wakuu nipo Arusha, nimemaliza chuo hivi karibuni.

Post nyingi za fani niliyosomea zinanitaka niwe na driving licence. Naomba mtu wa kunisaidia walau kunifundisha kuendesha gari halafu leseni nitafuatilia mwenyewe.

Nahitaji msaada wenu wakuu juu ya hili.
Mcheki Preta ako pande iyo
 
Chief nenda YouTube andka how to drive manual or automatic car...Checking Hizo video clip walau siku 7...Nenda driving school wambie unataka upate certificate ukachukue license, Watakupa text fata Yale maelekezo ya video clip..Smart phone yako ina kila elimu na ujuzi unaotaka,
Nashukuru Chief kwa ushauri huu
 
Back
Top Bottom