Msaada nahitaji mtoto wa kiume

Kankra

JF-Expert Member
Dec 23, 2015
203
140
Kama heading inavojieleza, mwenza wangu alianza Mp tarehe 20/11/2017 alfajiri sasa nahitaji nizae mtoto wa kiume.

Kiufupi tangu atoke mp natumia kondom kama contraceptive method. Wataalam nishaurini siku nzuri ya kupata mtoto huyo,Leo ni siku ya 13 tangu atoke mp.

Natanguliza shukrani...
 
Mtoto ni baraka
mtoto hapaniwi wala kutafutwa mkuu
shukuruhata akishika hio mimba..
mengine mwachie mwenyezi Mungu akupe unachostahili
 
Vipi ule ute mweupe kama maji ushanza kutoka?
Na mzunguko wake ni siku ngapi?
Na umeanza kuufuatilia kwa mda gani huo mzunguko wake?
 
Back
Top Bottom