Msaada, nahitaji mkopo wa fedha kwa dhamana ya vitu vya ndani

Ninafahamu mtu anayeweza kukusaidia ila yeye yupo kibiashara. Vitu vyote ulivyovitaja kama rehani vina risiti yenye jina linaloendana na jina lililopo kwenye kitambulisho chako cha NIDA? Upo sehemu gani? Maana vitu ulivyotaja vinatakiwa uvipeleke kwa anayekukopesha avishikilie kwa makubaliano maalumu ya kimaandishi. Ila huwa anachaji riba na muda ukiisha anavipiga bei.
 
Ukiweka rehani hivyo vitu si ghetto linabaki na mwanga tu sasa.Au umedhamiria kulala chini kama viumbe wengine tu.

Ungeuza ukabaki na cha muhimu ambacho ni kitanda halafu ukipata faida utavinunua tena ndani ya huo mwezi mmoja.

Au nenda kwa wanaokopesha huko kitaa weka bondi hiyo TV na sofa set.Ukipata ndani ya huo mwezi mmoja unaenda kuvikomboa.
 
//
 
Ni kweli unachosema, ila nia kuu ni kutouza hivyo vitu vyangu (ninasababu) na pia bado navihitaji, hivyo sijahitaji kuviuza to be honest, ndio sababu nahitaji ataeweza niazima kiasi hicho cha pesa the nikilipa nichukue vitu vyangu exactly.
 
Hebu njoo inbox ila juzi kati kuna mtu aliweka namba hapa kuwa hana pesa ya kula na kwamba yeye ni mwanafunzi, nikajisikia huruma nikapiga duh! Sina maana mbaya kusema hivyo ila hali imebadilika kidogo siku hizi
 
Malizia mkuu tupate fundisho, ikawaje?
 
Back
Top Bottom