Msaada: Nahitaji kutoka katika hii nchi

Ulinzi,Kubeba mizigo,kufagia, kutunza bustani, utingo wa magari makubwa (maroli),n.k

Pia nina ujuzi katika; Sales and marketing zaidi ya miaka 9, Data collection,Data analysis, Usimamizi wa miradi ya serikali na binafsi.
Tafuta ujuzi wa kushona nguo au kutengeneza video za katuni
 
Nataka uwe na ujuzi wa kutosha, kwa sababu kuna workshop nategemea kufungua karibuni, uwe na uwezo wa kushona suruali muundo wa kadeti,pisi 300 kwa mwezi
Mkuu hapo katika workshop yako wanahitajika washonaji tu? Ninao uwezo wa kufanya kazi nyingine tofauti au inayokaribiana na hiyo.

Kwa kuongezea ni kwamba,nafundishika kwa haraka sana.
 
Mkuu hapo katika workshop yako wanahitajika washonaji tu? Ninao uwezo wa kufanya kazi nyingine tofauti au inayokaribiana na hiyo.

Kwa kuongezea ni kwamba,nafundishika kwa haraka sana.
Kwa sasa nataka wazalishaji kwanza, baadaye watu wa masoko na IT
 
Ungejaribu hiyo mikoa mitatu iliyobaki ndipo ufikirie kutoka nje ya nchi, nchi yako ni nchi yako tu huko nje kuna changamoto ambazo pengine hutaweza kuzitatua
All in all best wishes
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom