Msaada: Nahitaji kujua ukubwa wa mota ya kusaga na kukoboa

Stt

New Member
Jan 19, 2018
1
0
Ndugu wana jamii,

Nahitaji kujua ukubwa wa mota ya kusaga na na kukomoa, nataka niwe napack sembe, ipi ni bora kiuchumi zaidi ili nipate faida.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom