Msaada: Nahitaji kujua kama haya mawe yana madini au la?

exponential

Senior Member
Jul 1, 2017
134
225
nahitaji kujua kama haya mawe yana madini au la? Kama indiyo, ni madini aina gani? Soko lake likoje?

Kutokana na Uchunguzi wangu niliofanya nahisi kuna madini ya mica " quartz "
IMG_20210504_103823.jpg
IMG_20210504_103920.jpg
 

dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
4,795
2,000
Mimi siwezi kujua kama yana madini au laa, ila ukigundu yamo nakushauri usidili na serekali watakupiga change la macho.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom