Msaada: nahitaji kufungua youtube channel

Mbane

Senior Member
Jun 6, 2022
178
417
Habari jf members, nina mpango wa kutaka kuingia kwenye hii sekta ya kusaka tonge mtandaoni, nikaona best kwangu ni youtube channel. Changamoto nayokutana nayo sijui chochote kabisa kuhusu ku edit video, na video editing ni pesa yenyewe kwenye YouTube channel ,maana content tayari ipo....!

Wakuu msaada jinsi ya kuweza kujifunza ku edit video, ni wapi wanafundisha na gharama ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom