Msaada: Nahitaji kufanya recovery kwenye PC

fofre

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
795
1,280
Habari za muda huu, nahitaji kufanya recovery katika computer ambayo ina window mpya na file nalo kuhitaji lilikuwa katika window ya zamani ambayo niliiformat nitumie njia gani ili niweze kurudisha hilo file (lilikuwa kwenye document)

Msaada tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani kiongozi..
Tafuta software inaitwa Ease us data recovery hii inapita hadi kwenye formated partition..
Kuna recuva na Pandora
Nipo naendelea na kufanya recovery kwa disk drill recovery, Ease us ilileta file ambazo tayari zipo..
IMG_20200124_154732_154.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom