Msaada: Nahitaji kuappeal mwaka huu HESLB na sijafanya usajili bado na kwenye appeal form wanahitaj reg no, nafanyaje hapo?

Fridahlema

Member
Nov 1, 2021
8
3
Naombeni msaada wa hilo swali plz kwani sielewi mpaka sasa nifanye nini angali sijapata registration no ya chuo kutokana na kukosa ada ya kujisajili na form ya kuappel kuna kipengele cha kujazwa reg no
 
Huna Reg no kivp...Kila mtu ana reg no ata kama hajasajiliwa
Uko Chuo Gani..!?
 
Ushafatilia ukajua kwamba kwanimi wanafunzi wote wa IAA campus ya dar Hawajapata mkopo?? Nadhani fatilia hilo kwanza, Na kama upo Arusha fatilia ujue kama kuna watu wamepata mkopo
 
Kwa arusha wapo waliopata ila dar sijaona
 
Back
Top Bottom