Msaada: Nahitaji kijana mzoefu wa kukaanga chips, chips mayai na kuku

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,097
34,027
Habarini Wakuu,

Naomba kumpata mtu ambaye ana uzoefu wa kutengeneza na kuuza chips, chips mayai, kuku na hata ndizi za kurost, Akiwa Arusha itakuwa vizuri zaidi....atalipwa vizuri.

Kwa mwenye sifa hiyo au amjuaye mwenye sifa hiyo naomba anitext kwa namba ifuatayo:


0742-825922

Shukran.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom