Msaada: Nahitaji Fundi wa kupaua nyumba Arusha Mjini

Dorry Winnie

New Member
Jun 3, 2021
2
0
Wapendwa samahani nahitaji msaada nimejenga nyumba yenye ukubwa wa sqr Urefu555 Upana 800.

Nahitaji kupaua naomba msaada wa Fundi je nitatumia mbao ngapi na bati ngapi maana nimepeleka mafundi tofauti Kila mmoja anetoa hesabu zake.

Wa kwanza alisema mbao 150 na bati 70.

Wa pili amesema mbao 300 na bati 93 sielewi jamani.
 
Ebu tulia uandike vizuri, hivyo vipimo ulivyotoa viko kwenye unit ipi?
  • millimeters (mm)
  • centimeters (cm)
  • feet
Pili nakushauri onana na wataalam, hawa ni Qs or Engineer au Civil Technicians watakupa hesabu kamili
 
Wapendwa samahani nahitaji msaada nimejenga nyumba yenye ukubwa wa sqr Urefu555 Upana 800.

Nahitaji kupaua naomba msaada wa Fundi je nitatumia mbao ngapi na bati ngapi maana nimepeleka mafundi tofauti Kila mmoja anetoa hesabu zake.

Wa kwanza alisema mbao 150 na bati 70.

Wa pili amesema mbao 300 na bati 93 sielewi jamani.
Hiyo nyumba ina ramani? kama hakuna ramani ni razima fundi afike eneo nyumba ilipo aiangalie alaf mkubaliane aina ya paa unayotaka then mahesabu ya bati na mbao yatapatikana kirahisi.
 
Wapendwa samahani nahitaji msaada nimejenga nyumba yenye ukubwa wa sqr Urefu555 Upana 800.

Nahitaji kupaua naomba msaada wa Fundi je nitatumia mbao ngapi na bati ngapi maana nimepeleka mafundi tofauti Kila mmoja anetoa hesabu zake.

Wa kwanza alisema mbao 150 na bati 70.

Wa pili amesema mbao 300 na bati 93 sielewi jamani.
umeishampata?
 
Kwa hiyo unataka Fundi tu aje akishakupa mahesabu aondoke utafute mwingine?

Idadi ya mbao au bati hutegemea na aina ya paa, na anayeamua ni mwenye nyumba na fundi anaweza kutoa ushauri mkashauriana.

Hivyo kila Fundi kuja na mapendekezo yake ni jambo linalotarajiwa maana kila mmoja huenda akapendekeza aina ya paa analodhani litafaa.
 
Back
Top Bottom