Msaada: Nahitaji bidhaa ya 'Earphones' kwa bei ya jumla

thA goD

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
1,927
2,000
A.alaykum,
Husika na kichwa hapo juu naomba Mwenye kujua ni wapi Naweza kupata earphones aina ya AWEI kwa bei ya jumla na zunauzwaje huko?
Nataka fungua hii biashara lakin sijui wapi zinapatikana.
Asante, nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom