Msaada: Nahisi nina infection kwenye urethra

properties

Member
Jun 3, 2016
59
57
Nini sababu ya urethra infections na tiba yake ni nini? Maana my urethra is rough na tiba ya UTI nimepata lakini bado nahisi kama maumivu wakati wa kukojoa. Nikiwa sikojoi nasikia kamuwasho kidogo natamani kujikuna lakini siwezi.
 
Nini sababu ya urethra infections na tiba yake ni nini? Maana my urethra its rough ....tiba ya UTI nimepata...lakini bado nahisi kama maumivu wakati wa kukojoa. Nikiwa sikojoi nasikia kamuwasho kidogo natamani kujikuna lakini siwezi.
Sema ukweli unarukaga ukuta! ukinipa jibu nitakueleza tiba
 
Sijawahi kula tigo katika maisha ya mapenzi yote.....
Muulize mpenzi wako kama huwa anafanya na mwanaume mwingine yaani kula k (D1) na halafu kuswitch kwenda Tigo (D2) na pengine kwenda tena D1. Hii ni muhimu kujua ili nikuelekeze dawa na jinsi ya kuepukana na hii UTI ambayo ni hatari kwa afya ya mwanaume. Unaweza huchanganyi D1 na D2 ila hawa wake au wapenzi wetu ni wapenzi wa michezo hiyo na akikutana na wewe ingawa wewe ni D1 tu unapata maambukizi. Chunguza vizuri na nipe mrejesho na kama akikataa (linategemewa) muombe uingize kidole katika D2 yake ukiona kimoja kinaingia na cha pili au cha tatu pia jua tayari
 
Nitakupa mrejesho.....lakini siko nae karibu anakaa tofauti na mimi......ngoja nifanye hima nimpate kwa leo.
 
Muulize mpenzi wako kama huwa anafanya na mwanaume mwingine yaani kula k (D1) na halafu kuswitch kwenda Tigo (D2) na pengine kwenda tena D1. Hii ni muhimu kujua ili nikuelekeze dawa na jinsi ya kuepukana na hii UTI ambayo ni hatari kwa afya ya mwanaume. Unaweza huchanganyi D1 na D2 ila hawa wake au wapenzi wetu ni wapenzi wa michezo hiyo na akikutana na wewe ingawa wewe ni D1 tu unapata maambukizi. Chunguza vizuri na nipe mrejesho na kama akikataa (linategemewa) muombe uingize kidole katika D2 yake ukiona kimoja kinaingia na cha pili au cha tatu pia jua tayari
Una ushauri wa kifedhuli sana, yani kiufupi hufai katika jamii, unaweza kuchonganisha wanafamilia wewe,
Jichunguze tena tabia yako halafu waangalie na wanaume wenzio waliokamilika wakoje,
(utaona hata kwenye michango yao hapo juu)

IF I HURT YOUR FEELINGS, I'M SORRY.
 
Bwana mleta mada, suluhisho ni ww kwenda hospitali ukafanyiwe vipimo vyote stahiki, na ukianza dozi usikatishe, pia kunywa maji mengi na unywe maziwa mtindi kwa wingi, jitahidi walau upate glass 3 kwa siku. Baada ya wiki utaleta mrejesho.

Mtindi ni tiba sana ya UTI sugu na maambukizi mengine kama fangasi, n.k.
 
Urinary tract infections don't always cause signs and symptoms, but when they do they may include:

A strong, persistent urge to urinate
A burning sensation when urinating
Passing frequent, small amounts of urine
Urine that appears cloudy
Urine that appears red, bright pink or cola-colored — a sign of blood in the urine
Strong-smelling urine
Pelvic pain, in women — especially in the center of the pelvis and around the area of the pubic bone

Causes

Urinary tract infections typically occur when bacteria enter the urinary tract through the urethra and begin to multiply in the bladder. Although the urinary system is designed to keep out such microscopic invaders, these defenses sometimes fail. When that happens, bacteria may take hold and grow into a full-blown infection in the urinary tract.

Kwa kawaida wanaume hawako kwenye risk Kama wanawake. Nenda hospitali ukatibiwe baada ya kupimwa. Hii hali ikiwapata wanawake kwa sababu ambayo sio infection tunashauriwa kunywa mtindi kwa wingi. Sina hakika itakusaidiaje ila Ina ongeza immunity na kurudisha stability ya mwili. Zungumza na daktari pia kuhusu kufanya culture ya mkojo wako ili kupata dawa itakayokusaidia.

Pole sana.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom