Msaada: Nahisi kuwashwa ngozi na muda mwingine misuli inacheza

CONSTANTKD

Member
Jan 24, 2018
24
7
Jamani mimi nina tatizo naomba msaada tafadhali

Tatizo langu ni kwamba nahisi kama muwasho au kama vile kuna wadudu wadogo sana mithili ya utitiri(kwa kuku) wanatambaa juu ya ngozi lakini si wadudu maana siwaoni

Pili naisi muda mwingine misuli ya baadhi ya sehemu za mwili inacheza. Hii ni dalili ya nini?msaada
 
Nimewaza misuli inacheza, mkuu embu jaribu kuogea delto kwa siku 3 tuone itakuwaje. (mimi si mtaaluma tiba) ni wazo langu tu ndugu


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom