Msaada: Nahisi homa baada ya kutumia dawa za Typhoid

Saoka

JF-Expert Member
Oct 23, 2018
405
565
Moja kwa moja kwenye mada.

Juzi nilienda kituo cha afya na kucheki afya nikakutwa nina Typhoid. Sasa nimeanza kutumia dozi za Typhoid (Cepro) siku ya 3 hii.

Ila wataalamu ni kwamba yaani najisikia nafuu ila naanza kutokewa na kama homa tena.

Je hapo tatizo nini japo nipo sawa na naendelea vizuri na pia dozi naendelea nazo?
 
Hiyo ni kawaida ya cipro huwa inatibua homa kwanza afu badae unarecover kikubwa piga msosi wa maana na unywe vunywaji vyenye sukari hasa juice na ule matunda sana
 
Back
Top Bottom