boga la kiangazi
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 504
- 662
Salaam sana wakuu,
Kama wiki mbili zilizopita nilienda kumpima wife ujauzito ambapo majibu yalikua ni U.P.T negative na akachomwa sindano ya kuzuia mimba ila sasa napata mashaka. Ishu ni kwamba haoni siku zake na kwa kawaida ilitakiwa awe ameziona . Pili amekua akiniagiza vitu hususan soda na lollipop wakati sio kawaida yake. Nmekua napata mawazo huenda kipimo kilikosea majibu au ndo side effects za hio sindano coz sina uzoefu na mambo hizo.
Msaada tafadhali.
Wasalaam