Msaada: Nafasi ya kazi Morena Hotel Dodoma

misorgenes

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
206
50
Naombeni msaada wenu ndugu zangu. kuna nafasi za kazi zilitangazwa Morena hotel mwezi march 2015, mimi pia niliomba sasa kutokana na kukaa kimya kwa muda mrefu mi nlijua watu wameishaitwa na wapo kazini. sasa leo Mungu si Athuman nimepigiwa simu kuwa nifike kwenye interview kesho. na mimi details zote za kazi ile nilishapotezea, naomba aliekuwa amelitunza tangazo lile anitumie job description za accountant. please please najua kuna aliekua ameomba kama mimi.
 
google au search zoomtanzania
 
Dah!pole mkuu,for the time being pitia pitia majukumu ya accountant mara nyingi huwa ni common,pia fahamu hospitality business ikoje,na ujue hiyo Hotel hata kwa juu,kuhusu tangazo,jaribu ku-google ,waweza kupata kitu,all ze best!
 
shukrani kwa ushauri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom