Msaada: Nadondosha sumu mara moja ndani ya shimo na bamia kusinyaa mara moja nafanyaje?

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
1,193
825
Kamakichwa cha habari kinavyosema;

Nandondosha sumu ndani ya shimo mara moja na Bamia kusinyaa Mara moja.
NIFANYAJE?


KABLA YA YOTE HABARINI.


NA NAHITAJI MSAADA WENU
WANA JF.

NAWASILISHA.
 
Nilishawah kutokewa na hio hali nikaenda hospital na sikupewa dawa yoyote ila ushaur tu nikawa sawa na ninaendela kupiga nyapi kama kawaida
1.jijenge kisaikolojia usiliweke hilo tatizo kichwani endeleza maisha yako kama hujawah kutokewa na hilo tatizo
2.jiamin kila uwapo kitandani, jiamin kua hicho kitu hakitatokea ten
3.usikamie game, pia inatokana na kukamia game
4.jitahid kua na amani moyoni mwako na ikiwezekana mshirikishe mwenza wako katika tatizo lako, hii itapunguza was was wako.
5. Tumia xvyakula vinavoasemekana kuongeza nguvu za kiume kaa seafoods, matunda, kifup mantain diet
6. Waone wataalamu wa afya hospitalini, usikurupuke kutumia madwwa ya kuongeza nguvu za kiume yanaweza yakakumaliza kabisaaaaa /wataalam wa afya watajua wanakusaidia vipi kama tatizk bado lipo , ikishindikana unaweza kuconsider tiba mbadala

NB: mimi sio daktari ila hiyo ni experience yangu kutokana na kesi kama yako, pia ni ushaur niliopata kutoka kwa madaktari...

Pole sana naamin kila kitu kitakua sawa na kwa rehema za Mungu utakaa sawa...
 
ukishadosha sumu kwenye shimo, fukia kwa mchanga usio na udongo, then weka bamia kwa juu
 
Mkuu, kwanza si ni kawaida kwa bamia kusinyaa mara baada ya kumwaga sumu? Any way, gonga vinyaji vya kuongeza nguvu kama vl Azam energy...
 
Nunua mabamia ya kutosha ili moja likisinyaa unatumia lengine.
Pia usipende kuyaweka mabamia kwenye joto au jua kali lazima yatasinyaa haraka,hakikisha muda wote yapo kwenye ubaridi wa kutosha!.
 
Fanya mazoezi
Kunywa maji mengi
Acha kukamia papuchi
Pombe na sigara zinaua bamia
Kama bamia linazidi kupungua urefu- kijini mahaba nacho ni shida
 
Back
Top Bottom