Msaada: NACTE wanasema taarifa zangu za chuo nilichosoma hazipo kwenye data base yao

marinji

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
413
472
Wanasema taarifa zang za chuo nilichosoma hazipo kwenye data base yao me nilimaliza chuo 2012. Nianzie wapi kwa mwenye uelewa anisaidie??
 
Kwanza check kama chuo chako kwa kipindi ulicho soma kinatambulika na NACTE

Kama kilikuwa kinatambulika nenda chuoni uhakiki taarifa zako kama zipo

Chuo kikuhakikishie kama wamepeleka taarifa zako NACTE vinginevyo wakueleze kwa nini hawakuzipeleka.

Kama walipeleka basi wawasiliane na NACTE kuhusu hilo na wewe uwe unapata nakala.

Ukikwama basi polisi itamhusu mhusika Chuo kama hawakupeleka au NACTE kama wamepoteza.
 
OK Nashukuru Mkuu kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom